Gharama za Huduma

Gharama za Huduma

Gharama za huduma kuanzia 01 Novemba 2020

Kama utahitaji kutoa alama za vidole na picha (bayometriki), ada ya bayometriki ni Dola za Kanada 85 (kwa kila muombaji)/ Dola za Kanada 170 (kwa ajili ya familia ya watu 2 au zaidi)/ Dola za Kanada 255 (kwa kikundi cha wasanii wanaotumbuiza 3 au zaidi) ambayo itajumuisha na gharama za Kituo cha maombi ya viza za kutuma kifurushi chako. Ikitokea kuna nyaraka ama paspoti za kutuma baada ya kutuma kifurushi cha kwanza, muombaji atatakiwa kulipia gharama za kutuma kifurushi kingine.  

Waombaji wote wanawasilisha maombi kwa njia ya makaratasi (na bayometriki au bila bayometriki), atatakiwa kulipia gharama za kushughulikia maombi yako – ada ya maombi kwa makaratasi. 

Kama hautatakiwa kutoa alama za vidole na picha (bayometriki), na unawasilisha paspoti yako na /au nyaraka kwenye Kituo cha Mombi ya viza , gharama za kutuma kifurushi zitahusika.

Njia ya kufanya malipo

Malipo ya gharama za huduma za Kituo cha Maombi ya viza na huduma za Zaida za chaguo lako

    • Kwa kibinafsi – Kwa pesa kwa Mkuu wa IOM Ofisi ya mpango 6A Bukoto Cresent Naguru, Kampala.
    • Na Benki – Rasimu ya benki au Amana ya fedha na maelezo yafuatayo

    Zifuatazo ni taarifa za kufanya miamala ya benki

    Jina la Akaunti ya Benki: International Organization for Migration in Uganda, 

    Jina la benki:
    STANBIC BANK. FOREST MALL LUGOGO BY PASS

    Account Number; 9030005818477

Kurejeshewa malipo yaliyolipwa kwa Serikali ya Kanada, tafadhali bofya hapa ili kuomba kurejeshewa kuoka kwa Serikali ya Kanada.


Gharama za huduma zinazitolewa na Kituo cha Maombi ya Viza.

Gharama ya huduma (kwa kila muombaji)

Kiasi kwa Dola ya Kanada (na kodi)

Kiasi kwa Shilingi za Uganda (na kodi)

Kusafirisha kifurushi (kwa kila kifurushi)

$59.75

170,300.00

Kuwasilisha malipo ya Ada za Serikali ya kanada (kwa kila muombaji)

$3.65

10,400.00

Huduma ya kusaidiwa - fomu ya mtandaoni (eTA)

$3.00

8,600.00

Huduma ya kusaidiwa – Maombi ya makaratasi (kwa kila ombi)

$17.66

50,300.00

Huduma ya kusaidiwa, Kuskani (Kwa kila ukurasa)

$0.76

2,200.00

Dawati la kujihudumia (kwa kila lisaa)

$8.33

23,700.00

Kutoa kivuli (kwa kila ukurasa)

$0.20

600.00

Kutoa nakala (kwa kila ukurasa)

$0.40 1,200.00

Ujumbe mfupi wa maneno SMS (kwa kila muombaji)

$3.00

8,600.00

*Gharama za huduma pamoja na kodi zake zitabadilika kulingana na taarifa kutoka serikalini. 

** Mabadilko ya dola za kikanada yataamuliwa na Serikali ya Kanada.  

Gharama mpya za huduma zimeanza tarehe 01 Novemba 2020. Tarehe ya kuwasillisha maombi yaliyotumwa kwa njia ya posta itakuwa ni tarehe ambayo Kituo cha maombi kitapokea maombi yako. Kama Maombi yaliyotumwa kwa posta yatapokelewa na yakawa hayana malipo kamili kwa ajili ya gharama mpya za huduma, muombaji atajulishwa ili alipe tofauti inayotakiwa ama sivyo maombi yake yatarudishwa kwa muombaji.  

Kwa taarifa kamili kuhusu huduma za ziada zitolewazo na Kituo cha Maombi ya viza, tafadhali bofya hapa