Weka miadi kwa ajili ya kufanya Bayometriki

 

Kuanzia tarehe 02 Novemba 2019, ni lazima kuweka miadi kwa ajilia ya kufanya bayometriki kwenye Kituo cha Maombi ya Viza za Kanada nchini Uganda.  

Ilikujua kama unahitaji kufanya bayometriki, utatakiwa kutembele http://www.cic.gc.ca/english/visit/biometrics.asp.

Ili kuweza kufanya miadi VFSGlobal itatakiwa kuchukua taarifa binafsi kutoka kwa muombaji. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Fomu ya ridhaa kwa hali hii itahitajika kutoka kwa muombaji.

Vigezo vya miadi ya dharura ya biometriki ni kama ifuatavyo:

- Kifo cha jamaa wa karibu anayeishi Canada

- Mtu mgonjwa wa karibu wa familia anayeishi Canada

Jamaa wa karibu wa familia anafafanuliwa kama

• mwenza au mpenzi anayefahamika kisheria

• mtoto tegemezi

• mtoto tegemezi wa mtoto anayemtegemea

• Mzazi au mzazi wa kambo

• mlezi au mkufunzi

Waombaji wanaoomba miadi ya dharura kwa madhumuni ya ukusanyaji wa biometriki lazima watoe uthibitisho wa dharura (yoyote ya yafuatayo) wakati wa kuhudhuria miadi katika Kituo cha Maombi ya Viza.

- Cheti cha kifo / matibabu

- Barua kutoka kwa Afisa wa Matibabu / Kitengo

- Barua kutoka Nyumba ya Mazishi

Tafadhali kumbuka Kituo cha Maombi ya Viza kitatoa taarifa kwa IRCC juu ya waombaji wote ambao hawatoi uthibitisho unaohitajika wa dharura wakati wa kuhudhuria miadi ya dharura katika Kituo cha Maombi ya Viza. IRCC inaweza kuzingatia hii wakati wa kukagua Maombi.

Miadi ya dharura ya biometriki haiathiri muda wa mchakato wa maombi wa IRCC wala matokeo.

Tafadhali kumbuka kuwa miadi ya dharura ya biometri haiwezi kupangwa mtandaoni (online). Ili kupanga miadi ya dharura ya biometriki, tafadhali fanya hivyo kwa kupiga simu Kitengo cha Mawasiliano cha Kituo cha maombi ya viza au kwa kutembelea Kituo cha Maombi ya viza kibinafsi.

  • Mtandaoni

    Tafadhali bofya hapa kufanya miadi. Kiungo hiki kitakupeleka kwenye ukurasa wa usajili wa miadi ambayo itakuwezesha; Ona zaidi

    o Panga miadi

    o Ahirisha miadi

    o Futa miadi

    Utatakiwa kufuata maelekezo yaliyowekwa kwenye ukurasa ili kutengeneza wasifu wa kuingia na kufanya miadi.  ·

    VFS Globall itakusanya taarifa zako binafsi kwa nia ya kukufanya miadi tuu. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Utatakiwa ujaze kikamilifu fomu ya Ridhaa. 

    Barua ya Miadi itakupa taarifa kuhusu tarehe, muda na mahala pa miadi, pamoja na taarifa nyingine muhimu. 

    Utatakiwa kuwasili kwenye Kituo cha maombi ya viza dakika 15 kabla ya muda wako wa miadi uliopangwa.

    Unaweza kubofya hapa kujua kuhusu Kanuni zausalama kwenye Kituo cha Maombi ya viza. 

  • Telephone

    Kama utataka kuomba miadi kwa njia ya simu, unaweza kutupigia kwenye nambari ya msaada ;

    Piga kitaifa: 0312363200 / Kimataifa piga: +256 312363200

    Muwakilishi wa huduma kwa wateja atakuwepo kukusaidia kuweka miadi, kuahirisha na kubadili au kufuta miadi. 

    Tafadhali tambua;

    Ili kuweza kufanya miadi VFSGlobal itatakiwa kuchukua taarifa binafsi kutoka kwa muombaji. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Fomu ya ridhaa kwa hali hii itahitajika kutoka kwa muombaji. 

    Pindi miadi yako itakapowekwa, barua ya miadi itatumwa kwa barua pepe kwenye barua pepe iliyoandikishwa wakati wa kufanya miadi. Kama barua pepe haitatolewa, ujumbe mfupi simu wa maneno (SMS) itatumwa kuthibitisha tarehe na muda wa miadi kwenye nambari ya simu iliyoandikishwa. 

    Ujumbe wa kukukumbusha kuhusu tarehe ya miadi utatumwa kwa barua pepe ay SMS masaa 24 kabla ya siku ya miadi. 

    Utatakiwa kuwasili kwenye Kituo cha Maombi ya viza za Kanadadakia 15 kabla ya muda wako wa miadi. 

    Unaweza kubofya hapa kujua kuhusu Kanuni zausalama kwenye Kituo cha Maombi ya viza. 

  • Barua Pepe

    Kama ungependa kuweka miadi kupitia barua pepe, unaweza kwa kutumia fomu ya mtandaoni.

    Ili kuweza kufanya miadi VFSGlobal itatakiwa kuchukua taarifa binafsi kutoka kwa muombaji. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Fomu ya ridhaa kwa hali hii itahitajika kutoka kwa muombaji. Ona zaidi

    Baada ya miadi yako kuwekwa, barua ya miadi itatumwa kwa barua pepe kwenye barua pepe iliyoandikishwa wakati wa kufanya miadi. Utapokea pia ujumbe mfupi wa simu wa maneno (SMS) itatumwa kuthibitisha tarehe na muda wa miadi kwenye nambari yako simu madam ndiyo iliyoandikishwa. 

    Utapokea ujumbe kwa barua pepe na/au simu ya mkononi wa kukukumbusha masaa 24 kabla ya tarehe ya miadi.

    Utatakiwa kufika kwenye Kituo cha Maombi ya viza za Kanada dakika 15 kabla ya muda wako wa miadi. Ona zaidi


  • Web chat

    Kama ungependa kupanga miadi kwa kutumia Chati Sasa unaweza kwa kubofya hapa.

    Muwakilishi wa huduma kwa wateja atakuwepo kukusaidia kuweka miadi, kuahirisha na kubadili au kufuta miadi. 

    Tafadhali tambua;

    VFS Globall itakusanya taarifa zako binafsi kwa nia ya kukufanya miadi tuu. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Utatakiwa ujaze kikamilifu fomu ya Ridhaa

    Utatakiwa kufika kwenye Kituo chaMaombi ya viza za Kanada dakika 15 kabla ya muda wa miadi.

  • Kufika mwenyewe

    Angalia Zaidi

    Kama ungependa; 

    Kuweka miadi kwa kufika mwenyewe

    Kuahirisha miadi kwa kufika mwenyewe

    Kufuta miadi kwa kufika mwenyewe

    Unaweza kuingia kwenye Kituo cha Maombi ya viza za Kanada wakati wa masaa ya kazi yaliyooneshwa na kuomba kutumia huduma ya dawati la kujihudumia ili kuweka miadi. 

    Tafadhali Tambua; VFS Globall itakusanya taarifa zako binafsi kwa nia ya kukufanya miadi tuu. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Muombaji atatakiwa kujaze kikamilifu fomu ya Ridhaa. 

    Bofya hapa ili kutafuta  Kituo cha Maombi kilichopo karibu nawe.