Fuatilia Maombi yako

Unaweza kutumia huduma ya 'Fuatilia ombi lako' iwapo umewasilisha maombi ya viza katika Kituo cha Maombi ya Viza za Kanada na umepokea risiti dhibitishi iliyo na nambari ya kufuatilia. Huduma hii hutoa habari juu ya eneo la sasa la ombi lako, bali sio hatua halisi ya mchakato wa ombi hilo.

Unaweza kufuatilia ombi lako kupitia gumzo ya mtandaoni / wavuti / nambari ya msaada / barua pepe. Kufuatilia ombi lako mkondoni, utalazimika kuingiza nambari ya ombi iliyotajwa kwenye risiti iliyopokelewa kutoka Kituo cha Maombi ya Visa, na Tarehe yako ya kuzaliwa.

Zifuatazo ni njia za kufuata ombi lako:

 • Tovuti:
 • Bonyeza hapa kwa maombi iliyopokea tarehe ama baada ya 02 Novemba 2019

 • Chati za mtandaoni: kwa kubonyeza hapa
 • Barua Pepe: Tuma barua pepe kwa info.canken@vfshelpline.com

 • Helpline Number: 0800720214
 • Tembelea Kituo kufuatilia ombi:

  Canada Visa Application Centre 5th flr, Parkfield building Muthangari Drive-Off Waiyaki Way, (Opposite Safaricom Hse) Westlands Westlands, Nairobi Nairobi

 • Unawezo tumia huduma ya ujumbe mfupi kutoka VFS Global kuendelea kusasishwa juu ya hali ya ombi yako. Walakini, huduma hii inapatikana kwa kulipa gharama ziada.

  Mara tu Ofisi ya Visa ya Canada ikapo tathmini ombi lako, watatoa uamuzi na kuweka hati ya viza kwa pasipoti yako, au watatoa barua inayoelezea sababu za kutopewa viza. Ofisi ya Visa ya Canada itarudisha pasipoti yako katika Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada, nakukujulisha hali ya ombi lako kupitia njia uliyochagua ya mawasiliano.

  Mfumo wa Ufuatiliaji wa Maombi Mkondoni utakusasisha wakati pasipoti yako iko tayari kuchukuliwa. Utalazimika kuja Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada kupokea pasipoti yako.