Wasiliana nasi

Nambari ya usaidizi

Tafadhali wasiliana nasi kwa habari yoyote kuhusu mchakato wa visa:

Wasiliana nasi kwa simu : 0800720214

Wasiliana nasi kwa barua pepe: info.canken@vfshelpline.com

Wasiliana nasi kwa gumzo mtandaoni: Bonyeza hapa

 

Maoni ya wateja

VFS Global imejitolea kutoa huduma ya hali ya juu. Ili kusaidia kufanikisha hili, VFS Global inakaribisha na kuthamini maoni kutoka kwa wateja. Unaweza kuwa na hakika kwamba maoni yote yanayopokelewa huzingatiwa kikamilifu.

Pongezi toka kwa wateja

Tunakaribisha mrejesho siku zote. Kama una maoni yoyote kuhusu huduma ulizopokea kutoka kwetu, tafadhali wasiliana nasi.


Malalamiko ya wateja

Tunayazingatia sana malalamiko na kuyatumia kama nafasi ya kuboresha kampuni yetu na wafanyakazi wetu. Ukitutumia maoni yako, utapokea majibu ya haraka na suluhu ya sononeko lako, kwa kadili ya utaratibu wetu wa kushughulikia malalamiko.