Nunua huduma

Gharama za Huduma

gharama za huduma zitakazoanza kutumika tarehe 02 Novemba, 2019

Iwapo utahitaji kutoa alama za vidole na picha, gharama yake itakuwa ni dola 85 za Canada (Kwa mtu mmoja) / dola 170 za Canada (kwa familia ya watu wawili na zaidi) / dola 255 za Canada (kwa kikundi cha wasanii watuta na zaidi) ambayo itajumuisha gharama za huduma za kusafirisha Kifurushi za Kituo cha maombi ya Viza. Usafirishi wowote wa pasi na/ au nyaraka baada ya usafirishi wa awali, waombaji watahitajika kulipa ada ya usafirishi wa kifurushi.

Waombaji wote ambao wanawasilisha maombi ya karatasi (iliyo au bila bayometriki) watahitaji kulipa huduma ya usaidizi- ada ya ombi la kartasi

Iwapo unahitaji kusajili bayometriki na kuwakilisha pasi na/au nyaraka kwa Kituo cha Maombi ya Viza, ada ya malipo ya usafirishi wa kifurushi itatumika.

Njia za kulipa

Ni lazima kuwa ada ya malipo ya serikali ya Kanada hulipwa mtandaoni. Ukitaka ufafanuzi jinsi ya kulipa ada ya malipo ya serkiali ya Kanada tembelea ukrasa wa ada ya malipowa IRCC.

Maelekezo kuhusu malipo ya gharama za huduma za Kituo cha Maombi ya Viza na huduma za hiari

 • Binafsi – Kupitia Mpesa
 • Ombi la kutumwa na Courier/posta – - Ada inaweza kulipwa kwa uhamisho kwa benki kwa "VFS Kenya Limited" kwa shilingi ya Kenya tu. Fomu ya MT 103 inapaswa kutolewa na benki baada ya kukamilika kwa shughuli ya uhamisho na kuwasilishwa na ombi kama ushahidi wa malipo.

  Ufuatao ni muongoza wa malipo ya uhamisho kwa benki

  Akaunti ya VFS Global Kenya limited

  Jina la akaunti: VFS (Kenya) Limited- Canada Holdings
  Nchi: Kenya Fedha: Kenya Shilling
  Jina la Benki: Barclays Bank Tawi: Barclays Plaza Mtaa: Loita Street –
  Nairobi Nambari ya akaunti. 2037342214
  Nambari ya IBAN. 2037342214
  Nambari ya SWIFT: BARCKENX
  Nambari ya Chips UID/Sort code: 03

  Benki ya mawasiliano: Barclays New York Jiji/mtaa: New York Nchi: USA Nambari SWIFT: BARCUS33

Kwa urejeshwaji wowote wa ada iliyolipwa kwa Serikali ya Canada bonyeza hapa kuomba marejesho kutoka kwa Serikali ya Canada.

Malipo ya Huduma kwa Huduma inayotolewa katika VAC:

Gharama za Huduma (kwa kila muombaji)

Kiasi kwa C$ (Pamoja na VAT)

Kiasi kwa Shilingi (Pamoja na VAT)

Kutuma Kifurushi (Bei kwa kila kifurushi)

$24.67

1,910.00

Huduma za usaidizi – Fomu kwa mtandao (Bei kwa kila fomu)

$2.00

155.00

Huduma za usaidizi – Maombi ya karatasi (Bei kwa Ombi)

$7.95

615.00

Huduma za usaidizi – Skanning (Bei kwa kila ukurasa)

$0.28

20.00

Huduma ya kompyuta unayoitumia binafsi (Bei kwa saa)

$5.09

395.00

Garama za Courier kutuma njia moja (Kila kifurushi) -Nairobi

$6.97

540.00

Garama za Courier kutuma njia moja (Kila kifurushi) – Inje ya Nairobi

$13.83

1070.00

Huduma za kurudufu (Bei kwa kila ukurasa)

$0.08

5.00

Kuchapa nyaraka (Bei kwa kila ukurasa)

$0.50

40.00

Picha inayokubalika kwa kiwango cha shirika la International civil Aviation (ICAO)

$8.43

655.00

Ujumbe mfupi “kwa kila ombi”

$2.75

215.00

 

*Malipo ya huduma yanajumuisha ushuru wowote unaotumika na yanabadilishwa kulingana na arifa ya serikali.

**Kiwango cha ubadilishaji wa CAD kimedhamiriwa na serikali ya Canada.

Malipo mapya ya huduma yakaanza kutumika mnamo Novemba 2, 2019. Tarehe ya uwasilishaji ya maombi ya courier au posta itakuwa tarehe ambayo Kituo cha Maombi cha Visa kinapokea maombi. Ikiwa maombi ya kutumwa na courier au posta yamepokelewa na hayakujumuisha malipo sahihi kwa malipo ya huduma ya sasa, mwombaji atawasiliana ili kulipa tofauti hiyo au maombi yatarudishwa kwa mwombaji.

Kwa maelezo kamili juu ya huduma za ziada zinazotolewa katika Kituo cha Maombi ya Visa, tafadhali bonyeza hapa.