Kuomba apointimenti ya kufanya Bayometriki

Kuanzia tarehe 2 Novemba 2019, uteuzi wa apointimenti ni lazima kwa usaji wa bayometriki katika Kituo cha Maombi cha Visa vya Canada cha Kenya.

Ili kujua ikiwa unahitaji kutoa kibaometri, tembelea http://www.cic.gc.ca/english/visit/biometrics.asp.

Kwa lengo kuu la kuweka miadi,VFS Global itakusanya taarifa binafsi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama.

Ikiwa unapanga kuomba miadi ya dharura kwa madhumuni ya usajili wa bayometriki, unaweza kufanya hivyo kwa kutoa uthibitisho unaofaa wa dharura wakati wa miadi. Dhibitisho inayofaa itajumuisha hati au nyaraka rasmi.

Itabidi ounyeshe tu barua hii katika Kituo cha Maombi ya Visa na usiwasilishe. Itakupa miadi ya dharura ya kusajili bayometriki lakini haitaathiri wakati unaohitajiki kutadhimini uamuzi wa ombi lako. Kwa taarifa zaidi au maswali au msaada, unaweza kuwasiliana na dawati lamawasiliano.

 • Mtandao

  Tafadhali bonyeza hapa kupanga miadi. Kiunga kitakuelekeza kwenye ukrasa wa Uteuzi ambao utakuwezesha:

  Kuweka Miadi

  Kuweka upya miadi

  Ghairi Miadi

  Utalazimika kufuata maagizo yaliyotajwa kwenye ukurasa ili kuunda sifa zako za kuingia na kupanga ratiba ya miadi.

  Tafadhali tambua kuwa:

  VFS Global itakusanya taarifa binafsi kwa lengo kuu la kuweka miadi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama. Utahitajika kujaza fomu ya ridhaa.

  Barua ya uteuzi itatoa maelezo ya tarehe, saa na eneo la miadi, pamoja na habari nyingine muhimu.

  Unalazimika kufika katika Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada dakika 15 kabla ya wakati wako uliowekwa.

  Unaweza kubofya hapa, kujua juu ya kanuni za usalama katika Kituo cha Maombi ya Visa.

 • Ikiwa unataka kupanga miadi kwa njia ya simu, unaweza kufanya hivyo kwa kupiga nambari ya msaada: 0800720214

  Mhudumu wa kituo cha mawasiliano atakuwepo kukusaidia katika kupanga, kusaniditena au kughairi miadi.

  Tafadhali tambua kuwa:

  VFS Global itakusanya taarifa binafsi kwa lengo kuu la kuweka miadi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama. Utahitajika kujaza fomu ya ridhaa.

  Mara tu miadi imepangwa, barua ya miadi itatumwa kwa barua-pepe iliyotumika kwa mchakato wa kupanga miadi. Ikiwa anwani ya barua pepe haijatolewa, arifa kwa ujumbe mfupi itatumwa ikithibitisha tarehe na wakati wa miadi kwenye nambari ya simu iliyosajiliwa.

  Utapokea arifa ya ukumbusho kupitia barua pepe na / au nambari ya simu masaa 24 kabla ya tarehe ya miadi.

  Unalazimika kufika katika Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada dakika 15 kabla ya wakati wako uliowekwa.

  Unaweza kubofya hapa, kujua juu ya kanuni za usalama katika Kituo cha Maombi ya Visa.

 • Barua Pepe

  Ikiwa unataka kupanga miadi kwa njia ya barua pepe, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia bonyeza hapa

  Tafadhali tambua kuwa:

  VFS Global itakusanya taarifa binafsi kwa lengo kuu la kuweka miadi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama. Utahitajika kujaza fomu ya ridhaa.

  Mara tu miadi imepangwa, barua ya miadi ikiwa na nambari ya kumbukumbu itatumwa kwa barua-pepe iliyotumika kwa mchakato wa kupanga miadi. Utapokea arifa kwa ujumbe mfupi itatumwa ikithibitisha miadi kwenye nambari ya simui iwapo ulipangia hivo.

  Utapokea arifa ya ukumbusho kupitia barua pepe na / au nambari ya simu masaa 24 kabla ya tarehe ya miadi.

  Unalazimika kufika katika Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada dakika 15 kabla ya wakati wako uliowekwa.

  Unaweza kubofya hapa, kujua juu ya kanuni za usalama katika Kituo cha Maombi ya Visa.
 • Mawasiliano mtandaoni yani chat

  Ikiwa unataka kupanga miadi kwa njia ya mawasiliano ya mtando yani chat, unaweza kufanya hivyo kwakubonyeza hapa.

  Mhudumu wa kituo cha mawasiliano atakuwepo kukusaidia katika kupanga, kusaniditena au kughairi miadi.

  Tafadhali tambua kuwa:

  VFS Global itakusanya taarifa binafsi kwa lengo kuu la kuweka miadi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama. Utahitaji kajaza fomu ya ridhaa.

  Unalazimika kufika katika Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada dakika 15 kabla ya wakati wako uliowekwa.

 • Binafsi

  Ikiwa ungependa:

  Kuweka Miadi

  Kuweka upya miadi

  Ghairi Miadi

  YUnaweza kutembelea Kituo cha Maombi cha Visa za Kanada kwa saa za kazi zilizoainishwa ili uombe huduma hii ama pia kupanga ratiba kwa kutumia huduma ya kompyuta ya kujijazia kibinafsi.

  Tafadhali tambua kuwa:

  VFS Global itakusanya taarifa binafsi kwa lengo kuu la kuweka miadi. Isiongoze taarifa binafsi zaidi ya ile inahitaji na mfumo wa ratiba ya miadi katika barua pepe, webchat, ujumbe mfupi au mawasiliano mengineyo ya elektroniki yasiyo salama. Utahitaji kajaza fomu ya ridhaa.

  Bonyeza hapa kwa ufafanuzi wa kilicho karibu nawe Kituo cha Maombi ya Viza Kituo cha Maombi ya Viza.